HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 9, 2017

MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang Yi (kulia kwake) kwenye makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam Januri 19, 2017. Kushoto kwake ni Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga na wanne kulia ni Balozi wa China nchini, Lu Youqing. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad