HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 10, 2016

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA TASWIRA MWANANA TOKA USWAZI KWETU

Mwalimu akiwavusha wanafunzi wake katika sehemu yenye maji eneo la Kinondoni Msufini huku kivukuko kikiwa ni mawe na matofali, wakati wa kwenda shule. hali hii imekuja kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mengi hapa nchini.Picha na Emmanuel Masaka, Mtaa kwa Mtaa Blog.
Mtoto akipita juu ya ukuta wakati akienda shule.
Mkazi wa eneo la Msufini akipita juu ya daraja kutoka nyumba ya jirani kuteka maji.
Huku kwetu kipindi hiki ili uwe mswano ni lazima kutengeneza dajara mbele ya Baraza la nyumba.
Mkazi wa eneo la Msufini akikatiza katika dimbwi la maji

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad