Tuesday, August 4, 2015

TASWIRA ZA MTAANI LEO JIJINI DAR


Harakati kuweka mazingira safi Watu  wakifanya usafi katika barabara ya Kilwa Jiji Dar es Salaam leo.
Kamera ya mtaa kwa mtaa ikiwa katika harakati za kutafuta taswira mbalimbali kama ilivyo wakuta wafanyabiashara wa matunda wakisubili wa nununuzi wa matunda Kariakoo Jiji Dar es Salaam leo.
Wauza mapazia  kama walivyo kutwa na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa katika harakati zake za kujitafutia kipato jiji Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment