Sunday, August 2, 2015

MTU NA DADA YAKE WAKIPATA CHOCHOTE..

Kamera ya mtaa kwa mtaa iliinasa taswira hii ya wawili hawa wakipata chochote katika eneo moja hivi hukuhuku changanikeni kwetu yani kitu cha wali na mboga za majanizz
hapo kitu kikiendelea kushuka taratubuu...

No comments:

Post a Comment