Katika katiza katiza za Kamera ya Mtaa kwa Mtaa mchana wa leo, iliweza kuinasa Taswira hii ya Wakinamama hawa wanaofanya biashara ya Matunda wakiwa wameketi katika moja ya mitaa ya Mjini Dodoma kwa kujipumzisha huku wengine wakiwa wameuchapa usingizi mzito.

No comments:
Post a Comment