Saturday, July 18, 2015

NANI KASEMA USAFIRI WA HARAKA NI BODABODA...

Mdau katika taswira akikata mitaa sambamba na mzigo wake wa majiko akiwa amejitwika katika kichwa chake huku jingine likiwa mkononi  mdogo mdogo kuelekea kunako husika kama alivyo naswa hapo na kamera yetu ya mtaa kwa mtaa blog..
mwendooo ni mdogo mdogoo..

No comments:

Post a Comment