KIDUME KIKIJIKAZA KWA KUTO ONYESHA UDHAIFU KATIKA FANI...
Taswira hii ilinyakuliwa eneo moja hivi machachali sana na kumkuta kijana alie kuwa akijikongoja kwa kujikaza kiume katika ubebaji wa gunia la ndizi lenye ujazo ulio mzidi hata yeye mwenyewe mbebaji...
No comments:
Post a Comment