Msimamizi
wa masuala ya ushiriki wa watanzania wa wizara ya nishati na madini
Neema Apson akizungumzia jinsi wizara ya nishati na madini inavyoshiriki
katika kuhakikisha taarifa zinawafikia wananchi kwa usahihi kuhusiana
na mafuta na gesi katika ukumbi wa mikutano wa British Cancil jijinin
Dar es Salaam leo. pia wizara hiyo itaunda kitengo maalumu kwaajili ya
kusimamia masuala ya gesi na mafuta na kuwajulisha wananchi kushiriki
vyema katika nishati zitolewazo hapa nchini.

Mkuu
wa Biashara wa British Concil Hugh Penrhyn Jones akizungumza katika
mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa British Cancil jijinin
Dar es Salaam leo.

Mratibu wa kitengo cha uwajibikaji wa makampuni na mazingira-kituo cha sheria na haki za binadamu,Wakili Flaviana
Charsles akiuliza swali katika mkutano wa kujadili masuala ya mafuta na
gesi pamoja na changamoto zake kwa jamii katika mkutano uliofanyika ukumbi wa mikutano wa British Cancil jijinin Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wadau wa maendeleo ya mafuta na gesi wakimsikiliza mtoa maada katika ukumbi wa mikutano wa British Cancil jijinin Dar es Salaam leo.(Picha na Avila Kakingo)
No comments:
Post a Comment