Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dk. Florence Turuka (wa pili kulia) akionyesha ripoti ya Dunia ya mwaka 2015 kuhusu uwekezaji mara
tu baada ya kuizindua kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es
Salaam jana. Wanaoshuhudia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha
Uwekezaji nchini (TIC), Nakuala Senzia (wa kwanza kulia), Mwenyekiti wa
Bodi ya TIC, Prof. Lucian Msambichaka (wa pili kushoto) na Mjumbe wa
kamati ya Bodi ya TIC, Dr Frances Shao.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dk. Florence Turuka (kulia) na Mwenyekiti wa
Bodi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Prof. Lucian Msambichaka kwa
pamoja wakizindua ripoti ya Dunia ya mwaka 2015 kuhusu uwekezaji kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Nakuala Senzia (wa kwanza kulia), akizungumza wakati wa uzinduzi waripoti ya Dunia ya mwaka 2015 kuhusu uwekezaji mara
tu baada ya kuizindua kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es
Salaam jana. Pembeni yake ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dk.
Florence Turuka (wa kwanza kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Kituo cha
Uwekezaji nchini (TIC), Prof. Lucian Msambichaka (Katikati) na Mjumbe
wa kamati ya Bodi ya TIC, Dr Frances Shao.
Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa TIC waliohudhuria hafla fupi ya uzinduzi wa ripoti ya Dunia ya mwaka 2015 kuhusu uwekezaji iliyofanyika
jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia uwasilishaji wa mada mbalimbali
kuhusu uwekezaji zilizoambatana na uzinduzi huo.

No comments:
Post a Comment