HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 26, 2015

NG'OMBE WAKISUBIRI HUDUMA YA UKOMBOZI NA UPONYAJI.....

Hapo katika taswira ni ng'ombe wakiwa na mwenyeji wao kwenye moja ya kona ya tangazo linaluhusu huduma ya ukombozi na uponyaji ambapo inaonyesha mwenyeji wa ng'ombe hao amewapeleka ng'ombe hao kwa lengo la kupata huduma ya ukombozi na uponyaji na kuaidiwa kupewa maziwa na ng'ombe hao mara baada ya kumaliza huduma hiyo....
hapo ni katika kusubiri maelekezo kutoka kwa mtoa huduma..
jambo likisubiliwa hapo....

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad