Saturday, June 27, 2015

MTOTO MWEMA NI YULE ANAE JISHUGHULISHA NA SHUGHULI MBALIMBALI ZA NYUMBANI...

Kamera ya mtaa kwa mtaa blog ilipo kuwa kwenye dolia yake kamakawaida kuhakikisha libeneke lako pendwa halilali njaa iliingia mtaa mmoja hivi jijini mbeya na kufanikiwa kunasa mionekano ya taswirazz za mtoto mwenye tabia njema akifanya usafi wa nguvu kwenye moja ya kiwanja cha nyumba yao hii inatabiri wema kwani siku zote nyota njema huonekana asubuhi...Picha na Mtaa Kwa Mtaa blog. 
Fagio likiinuliwa hapo na dogo huyo...
hapa akiwa ameinukia kidogo ili apate kidogo nafasi ya kufagia sawiaa...
dogo akiendelea kupiga fagio..
fagio katika usafi na dogo huku akiwa amepiga ndala moja tuu...
ubizee...
hapo dogo akikausha maji kwenye uwanja huo kuendeleza usafi...
haya ndio mambo yanayo takiwa tuwafundishe watoto zetu sio yaleee ya nani hii...

No comments:

Post a Comment