Friday, June 26, 2015

MDUDU AKIPELEKWA BUCHANI...

Kamera ya mtaa kwa mtaa blog ilipata kushuhudia jinsi ambavyo vidume wa shoka wanao jishughulisha na shughuli za kusafilisha nyama nyeupe a.k.a mdudu kiti cha moto kwenye baadhi ya mabucha ya nyama nyeupe mitaa ya siwemba...
hapo sasa wadau wa nyama nyeupe msije kusema hamjapaona hapo kazi kwako sasa...

No comments:

Post a Comment