Monday, March 2, 2015

UMOJA NI NGUVU

Baadhi ya kinamama wanaojihusisha na kazi ya kufanya usafi katika maeneo mbali mbali ya katikati ya jiji la Dar,wakishirikiana kwa pamoja kufanza kazi hiyo ili kuweka safi kabisa.

No comments:

Post a Comment