Friday, March 20, 2015

MAMBO YA VIOO NJEE NDANI HAYA.

 Kamera ya mtaa kwa mtaa kwa umaridadi wake wa kunasa taswirazzz mtaani ika fanikiwa kumnasa mrembo mmoja jina lake kapetini akiwa ana jinasua nasua kwenye vioo vya jirani kwa kuji maridadisha ili kuwa na muonekano mzuri aendako bila kujua kuwa vioo hivyo ni wandani amuone wa njee wanje asimuone wa ndani.
               "yess hapa sasa ni muruwa kakibode haka kamenitoa kwelikweli."

No comments:

Post a Comment