Wednesday, March 25, 2015

HII NDIO FAIDA YA KUFUGA MJINI

 Katika pitapita za Mtaa kwa Mtaa,nilibahatika kukatiza maeneo ya Mikocheni na kukutana na taswira hizi za mifugo ikiwa malishoni katika bustani iliopo nje ya nyumba moja ya nyumba zilizopo kwenye eneo hilo.

No comments:

Post a Comment