Kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilikatiza maeneo ya Kariakoo,kwenye makutano ya Mtaa wa Aggrey na Swahili na kukutana na bwa'mdogo huyu akiwa amepewa kazi ya kupanga urembo nje ya duka moja lilipo kwenye eneo hilo.
No comments:
Post a Comment