HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 16, 2015

NYAU LETU HILOO.

Huu ndio uhodari wa nyau letu baada ya sekeseke kati ya yeye na mla mahindi na hatimae kumtia nguvuni mwake na mla mahindi kutulia tuli kama ananyolewa vile.
Hii ilikuwa ni hatua ya pili ya nyau letu baada ya kumtia nvuvuni hatimae kumpatia pingu ya mdomo na kuenda nae moja kwa moja kunako husika.
Si unajua kama ilivyo ada kinacho patikana watoto nao huwa na fungu lao ndio kama nyau hizo pichani zinavyo subiri mgao wao kutoka kwa mzazi wao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad