Friday, February 27, 2015

MSOSI TIME KWA MAMA NJAZIE

Vijana wanaopiga mzigo katika maeneo ya jirani na mama njazie huyu wakiwa wametia timu ontime kabisa kuhakikisha mambo ya mchana yanakwenda vyema.

No comments:

Post a Comment