Dogo mwenye utaalamu malidhawa wa kusaga na kukoboa mtaa wa jirani pale, akiwa amenaswa na kamera yetu ya mtaa kwa mtaa blog akiwa amepitiwa na usingizi wa nguvu kutokana na uchovu wa pilika pilika za shughuli hiyo.
usingizi ukiwa umechukua nafasi yake hapa amki bila mteja kuhitaji huduma ya kusaga au kukoboa.
No comments:
Post a Comment