Sunday, August 3, 2014

OFAB TANZANIA YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI

Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti cha Mikocheni (MARI), Dk. Andrew Ngereza akitoa historia fupi ya kituo hicho wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na Jukwaa la Bioteknoloji Tanzania (OFAB)
Mkurugenzi wa Sayansi Hai wa COSTECH, Dk.Flora Tibazarwa akitoa mada katika semina hiyo.
Mtafiti Kiongozi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Nicholas Nyange (kulia), akielekeza jambo wakati wa semina hiyo.
Mtaalamu wa masuala ya Bioteknoloji, Dk. Emmarold Mneney akitoa mada kwa wahariri.
Mwakilishi wa UN-NEPAD, Profesa, Dirian Makinde (kulia), akitoa mada kuhusu matumizi sahihi ya Uhandisi Jeni.
Mtafiti Dk. Fred Tairo (kushoto), akiwaelekeza jambo wahariri hao, baada ya kutembelea Maabara ya Uhandisi Jeni iliyopo katika Kituo hicho.
Mtafiti Christine Kidulile (kulia), akitoa maelezo kwa wahariri kuhusu kazi zinazofanyika katika Maabara ya Uhandisi Jeni.
Mtafiti wa Msaidizi wa kituo hicho, Sylvia Msangi (kushoto), akiwaonesha wahariri hao bastola maalumu ya kuingizia Jeni katika mimea.
Miche ya mihogo ikiwa katika maabara maalumu baada ya kuoteshwa.
Mkurugenzi wa Sayansi ya Viumbe Hai wa COSTECH, Dk.Flora Tibazera akitoa mada katika semina hiyo.
Mtaalamu wa masuala ya Bioteknoloji, Dk. Emmarold Mneney (kushoto), akitoa mada kwa wahariri.
Mwakilishi wa UN-NEPAD, Profesa, Dirian Makinde (kushoto), akitoa mada kuhusu matumizi sahihi ya Uhandisi Jeni.

Wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.

Wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.
Wahariri mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.



Wahariri wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa. Kutoka kulia ni Mhariri wa Nipashe Jumapili, Beatrice Bandawe, Frola Wingia na Mhariri kutoka gazeti la Daily News, Anthony Tambwe.(Imeandaliwa na Dotto Mwaibale wa mtandao wa www.habari za jamii.com)

No comments:

Post a Comment