Wednesday, April 9, 2014

KITOWEO KIKIWAHISHWA

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa iliwanasa vijana hawa wakiwa kwenye baiskeli huku mmoja akiwa amemkumbatia Kondoo na safari ikiendelea.

No comments:

Post a Comment