Baada ya Dodoma na Mwanza,sasa Familia Kitchen Party Gala inahamia Dar es Salaam. Ni Jumapili hii tarehe 26,ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia saa sita mchana. Wazungumzaji ni Aunt Sadaka,Mama Victor na kaka Chris Mauki.. Burudani kabambe kutoka kwa Malkia Khadija Kopa,Mwasiti na Shaa

No comments:
Post a Comment