Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Ayubu Rioba akizungumza kwenye mkutano wa wanaharakati na wanahabari uliojadili uhuru wa habari nchini na Changamoto zake yakiwemo masuala ya kufungiwa gazeti la MMwanahilisi pamoja na mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi dhidi ya raia.
Baadhi ya wanaharakati wakipaza wakiwa na mabango yenye ujumbe wa aina mbalimbali kwenye mkutano huo.
Wanahabari wakiwa pamoja na wanaharakati kufuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa na wataalamu wa sheria katiba na jinsia.
Wanaharakati na baadhi ya waandishi.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Raia ya Kufuatilia Mwenendo wa Bunge CPW) Marcossy Albanie akitoa mada kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment