Tuesday, September 4, 2012

WAKATI WAKISUBIRI MSIMU WA MAZAO WAMACHINGA MKOANI PWANI WABUNI BIASHARA NYINGINE.

 Mmachinga wa Kibiti akimkoleza mteja wa ungo akiwa kwenye basi linaloelekea mikoa ya kusini.
Wajasiriamali wa Kibiti Mkoani Pwani wakisaka wateja kwenye magari yanayofanya safari zake Dar es Salaam na mikoa ya kusini, bei ya ungo mmoja ni kati ya Tsh3000 na 5000.

No comments:

Post a Comment