Walinzi
wa timu ya mtende Mussa Juma (kushoto) na Jumanne Chikunde wakimzuia
mshambuliaji wa Mundu, Mfanyeje Ndalo wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Grand Malt Zanzibar jana kwenye uwanja wa Amaan.
Mshambuliaji wa Mundu, Ibrahim Rajab (mbele) akipambana na Ali Salum wa Mtende, ligi kuu ya Grand malt ya zanzibar jana Mtende ilipata ushindi wa mabao 2-0. Picha na Martin Kabemba.
Pambano la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kati ya Mtende na Mundu kwenye uwanja wa Amaan zanzibar jana. Mtende iliinyuka Mundu mabao 2 - 0. Pichani mshambuliaji wa Mundu, Mfanyeje Ndalo akimiliki mpira mbele ya walinzi wa Mtende, Mussa Juma (kushoto) na Jumanne Chikunde.

No comments:
Post a Comment