Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika Mkutano wa Viongozi wa nchi za
Maziwa Makuu wanaokutana katika ukumbi wa mikutano wa Munyonyo
Commonwealth Resort jijini Kampala leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taif Mhe.
Shamsi Vuai Nahodha (kulia kwake) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajab Gamaha wakielekea
kwenye mkutano wa viongozi wa nchi za Maziwa Makuu wanaokutana katika
ukumbi wa mikutano wa Munyonyo Commonwealth Resort jijini Kampala leo
Septemba 8, 2012.PICHA NA IKULU





No comments:
Post a Comment