Hayati
Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia, aliyekuwa Mpambe wa
Rais wa kwanza wa Tanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na
Rais wa pili wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi.
Raiswa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi naUsalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika
kitabu cha maombolezo leo Keko, jijini Dar es salaam, kufuatia kifo cha
Luteni Kanali(mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia, aliyekuwa Mpambe wa Rais
wa kwanza waTanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Rais Ali
Hassan Mwinyi. Marehemu amezikwa leo Septemba 6, 2012 katika makaburi
ya Kisutu jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ndugu jamaa na
marafiki wa Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia leo
Septemba 6, 2012 Keko, jijini Dar es salaam.
Hayati
Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia, akiwa kazini kama
Mpambe wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius
Nyerere na baadaye Rais wa pili wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi.





No comments:
Post a Comment