Meneja
wa kinywaji cha Redd's Original,Victoria Kimaro (kushoto) akizungumza
na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu fainali ya Shindano la
Redd's Miss Ilala 2012
inayotarajia kufanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa Nyumbani
Lounge,Namnga jijini Dar es Salaam.katikati ni Mratibu wa Shindano
hilo,Juma
Madabila na mwenye kofia ni Msanii wa Bongo Movie ambaye ndie atakaekuwa
MC wa hafla hiyo,Steven Nyerere.wengine ni baadhi ya warembo
wataoshiriki Shindano hilo la Redd's Miss Ilala 2012.
Mratibu wa Shindano Redd's Miss Ilala 2012,Juma
Madabila (katikati) akitoa taarifa ya Shindano hilo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza burudani na zawadi kwa mshindi wa kwanza wa shindano hilo,ambaye atajinyakulia kitita cha Sh. Milioni 1.5.
Msanii
wa Bongo Movie ambaye ndie atakaekuwa MC katika Shindano hilo,Steven
Nyerere akielezea namna alivyojiandaa kuliendesha shindano hilo.
No comments:
Post a Comment