
Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu kuelekea Makabirini
Wakiwa wanafanya ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko
Hapa wakiwa wanashusha mwili wa marehemu katika Nyumba yake ya milele

Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akiweka Shada la Mauwa kwa machungu

Mke wa Daudi Mwangosi akiwa analia kwa uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe.

Watoto wa Marehemu wakiwawanaweka mashada ya maua sasa.

Dr Slaa akiweka Shada la maua.
Dr. Slaa baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho
Mh. Mark Mwandosya akiweka taji la maua pamoja na mke wake

Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog, ndugu Joseph Mwaisango akiwa anatoa heshima zake za mwisho katika kaburi.

Wananchi wakiwa wanarejea baada ya mazishi.
Na huu ndio mwisho wa tukio zima la mazishi ya marehemu, Mpiganaji Daudi Mwangosi aliyekuwa mwandishi wa Television ya Chanel 10.
PICHA KWA HISANI YA MBEYA YETU BLOG.
PICHA KWA HISANI YA MBEYA YETU BLOG.









No comments:
Post a Comment