Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza wakati wa majadiliano ya
kubadilishana mawazo kuhusu namna ya kuwasaidia na kuwahamasisha
wanafunzi kushirikia katika masomo ya Sayansi, Tekinolojia, Uhandisi
na Hesabu Mkutano huo ambapo uliandaliwa na Bi Savannah Maziya
Mkurugenzi Mtendaji wa Bunengi Gropu kwa kushirikiana na Makampuni
mengine na kupewa jina la la African First Ladies Roundtable,
Umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa jengo la Suisse America ,
jijini New York na kuhudhuriwa na baadhi ya wake wa marais,
wakurugenzi wa makampuni mbalimbali, wanadiplomasia na wahadhiri.
Mama
Salma Kikwete akibadilishana mawazo na Bibi Katalin Bogyay Balozi wa
Hungary UNESCO na amebobea katika diplomasia ya utamaduni na mtetezi
mkubwa wa masuala yahusuyo fursa sawa ya elimu kwa mtoto wa kike.
Mama Salma Kikwete akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Mwanaidi Sinare Maajar, Balozi wa Umoja wa Afrika katika Umoja wa Mataifa Mhe. Amina Salum Ali na Mshauri wa Rais mambo ya Diplomasia Balozi Liberata Mulamula kabla ya kuhudhuria mkutano wa African First Ladies Roundtable jijini New York, Marekani, leo.
Mama Salma Kikwete akihudhuria mkutano huo Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA

No comments:
Post a Comment