Sunday, September 16, 2012

kila kazi na ugumu wake....angalia picha hii utabaini

Askari Polisi wa kikosi cha Kutuliza Ghasia akiwa anaburuzika chini wakati gari iliendelea mara baada ya kupoteza step wakati wa kupanda.

No comments:

Post a Comment