Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi,Ramadhani Khijjah (kulia)
akimsikiliza kwa makini ofisa Mkuu wa (CMSA) Mrs Nassama Masinda wakati
alipokua akichangia mada wakati wa Kongamano la siku moja la kujadili
masuala ya Mitaji na Uwekezaji lililoandaliwa na NIC Capital kwa
kushirikiana na DSE, IFC jijini Dar es Salaam hapo jana.
Meneja
Masoko na Mawasiliano wa NIC Capital Bw.Yusuf Shenyagwa, akitoa mada
katika kongamano la siku moja lililojadili masuala ya mitaji na
uwekezaji,kongamano hilo liliandaliwa na NIC Capital kwa kushirikiana
na IFC pamoja na Soko la hisa la Dar es Salaam (DSE)hapo jana.
Mmoja wa washiriki wa kongamano la siku moja la kujadili masuala ya
mitaji na uwekezaji akichangia mada. Kongamano hilo lililofanyika jijini
Dar es Salaam jana liliandaliwa na NIC Capital kwa kushirikiana na IFC
pamoja na Soko la hisa la Dar es Salaam (DSE).
Baadhi
ya washiriki wa kongamano la siku moja la kujadili masuala ya mitaji na
uwekezaji wakifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa. Kongamano
hilo lililofanyika jijini Dar es Salaam jana liliandaliwa na NIC Capital
kwa kushirikiana na IFC pamoja na Soko la hisa la Dar wes Salaam (DSE).
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi Ramadhani Khijjah watatu toka kushoto
waliokaa akiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kufungua kongamano
la siku moja la kujadili masuala ya Mitaji na Uwekezaji lililoandaliwa
na NIC Capital kwa kushirikiana na DSE, IFC jijini Dar es Salaam hapo
jana.





No comments:
Post a Comment