Sunday, August 5, 2012

watanzania mji wa Nürnberg waandaa tamasha la utamaduni

 Muandaaji wa Tupo Zusammen Festival, Bwana Erick Morro akitoa maelezo juu ya Tanzania.
 Wajerumani wakipewa somo katika warsha  ya ngoma za asili ya Tanzania.
 Kaka Arba kutoka Tanzania akichalanga ngoma ya mdundiko huku watu wakijiachia kwa raha zao
 Wajerumani wakisakata ngoma za asili za Tanzania.
Kaka na Dada wa kitanzania wakionyesha nguo za utamaduni wa kitanzania katika Fashion show.

No comments:

Post a Comment