Wadau Mbali mbali wa Kinywaji cha Grand Malt wakipata ftari ya pamoja jioni ya leo katika hoteli ya City Garden,Gerezani jijini Dar es Salaam.
Wadau Mbali Mbali wakiendelea kufata ftari hiyo iliyokuwa imeandaliwa na Grand Malt.
Kina sie pia tulikuwepo katika ftari hiyo iliyokuwa imeandaliwa na Grand Malt.
Picha ya pamoja Baada ya kupata ftari.







No comments:
Post a Comment