| Hasani Mzonge akimwelekeza mmoja wa Mabondia wa Timu ya Taifa jinsi ya kupishanisha ngumi wakati wa kupigana. |
| Makocha wa timu ya Taifa wakiwaonesha mabondia jinsi ya ngumi zinavyopishanishwa wakati wa mchezo huo.kushoto ni Hasani Mzonge na Edward Luyakwipa |
| "Unatakiwa mkono wako unyoshe hivi " ndivyo anavyosema Kocha wa mchezo wa ngumi Hasani Mzonge kulia wakati alipokuwa anafundisha mabondia wa timu ya Taifa . |
| "Unapiga uku unatembea" ndivyo anavyoelekoza kocha wa mchezo wa masumbwi Hasani Mzonge wakati wa Mazoezi ya Timu ya Taifa ya masumbwi yaliyofanyika leo .picha na www.superdboxingcoach. |

No comments:
Post a Comment