HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 26, 2012

Tamasha la Fiesta mjini Moshi lilivyofana


 Msanii Prezoo kutoka Kenya akiwarusha mashabiki kibao waliojitokeza  usiku wa kuamkia leo kwenye uzinduzi wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012.
Prezoo akiwarusha mashabiki kibao (hawapo pichani) waliojitokeza jioni ya leo kwenye uzinduzi wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012
Mwana FA akilishambulia jukwaa vilivyo kwa mitindo yake huru iliyokuna vilivyo mashabiki wake,waliofika kwa wingi kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012.
Lina akiimba wimbo wake Yalaiti
 Msanii mahiri wa bongofleva,Lina akiwa na densaz wake wakilishambulia jukwaa vilivyo.
 Mmoja wa wasanii wa hip hop Joh Makini akikamua vilivyo usiku huu mbele ya umati mkubwa wa watu uliojitokeza kwenye uzinduzi wa tamasha la Fiesta.
 Ferooz akiwa na mmoja wa mashabiki wake wakilishambulia jukwaa vilivyo.
 Wasanii machachari Bongo Move Wema Sepetu (kushoto) na Aunt Ezekiel wakicheza muziki wa bongo Fleva uliokuwa ukishushwa na Msanii wa Bongofleva,Ferooz katika uzinduzi wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2012 Bhaaaaass! katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Mjini Moshi usiku huu. Tamasha hilo limebamba ile mbaya.
 Wasanii wa nyota wa Filamu hapa nchini nao walijumuika kwa pamoja kwenye uzinduzi wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,pichani jukwaani ni Wema Sepetu,Jacob Steven a.k.a JB,pamoja na Aunt Ezekiel wakilisakata sebene.
 Ray nae akilisakata sebene vilivyo.
 Ray  na steve nyerere  Wakilisakata sebene vilivyo.
Steve Nyerere akilisakata sebene vilivyo.
 DJ Choka akiwa mitamboni pamoja na DJ B-12

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad