HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 19, 2012

SANDE KIZITO WA UGANDA NA MTANZANIA RAMADHANI SHAURI WAMEPIMA UZITO LEO KWA AJILI YA MPAMBANO KESHO

 
Bondia Sande Kizito wa Uganda akipima Uzito leo kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa IBF Africa Utakaofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee siku ya kesho.kushoto ni Mpinzani wake Ramadhani Shauri.
 
Rais wa TPBO,Yasin Abdallah (kulia) akipeana mkono wa iddi na Mtangazaji wa Radio Times,Bw. Kondo walipokutana siku ya leo.
Rais wa IBF Africa,Onesmo Ngowi (katikati) akiwa ameshikilia mkanda wa ubingwa wa IBF Africa utakaogombaniwa na Mabondia Ramadhani Shauri (wa pili kushoto) na Sande Kizito wa Uganda.kushoto ni Katibu wa TPBC,Nemes Kavishe na Rais wa TPBO,Yasin Abdallah.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad