HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 19, 2012

SALAM ZA EID EL FITR KUTOKA DAILY NKOROMO BLOG



Kwa kuzingatia kwamba hata wakati ulipokuwa ukitekeleza moja kwa moja au kwa namna nyingine katika kuhakikisha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unakamilika kwa salama uliendelea kuwa mdau wa Daily Nkoromo Blog, kwa heshima Mtayarishaji Mkuu wa Blogu hiyo Bashir Nkoromo, anakutakia Sikukuu njema ya Eid El Fitr. EID Mubarak!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad