Thursday, August 9, 2012

Rais Kikwete amkaribisha Waziri Mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai Ikulu jijini Dar leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Waziri Waziri Mkuu wa Zimbabwe Bwana Morgan Tsvangirai ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Baadaye Bwana Tsvangirai aliondoka kurejea nchini kwake.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment