Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mwantumu Mahiza akikata utepe wakati wa kuzindua magari mawili ya kubebea wagonjwa katika hospitali ya Tumbi mkoani pwani,magari hayo yametolewa na serekali ya Korea kupitia kwa Rotary Intenational club ya tanzania.Magari hayo yana thamani ya shilngi milioni miambili thelathini za kitanzania.kushoto ni mwakilishi kutoka Shirika la Kimaendeleo la Korea (KOICA),Jinyong Kim na kulia ni mwakilshi wa Rotary Club Tanzania,Bill Bali na nyuma yao ni Mganga Mkuu wa hosipitali ya tumbi,Dr Petar Datani na aliye nyosha mkono ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu Kibaha,Dr Cyprian Mpemba hafla hiyo ya makabidhiano imefanyikia leo katika hospitali ya Tumbi Mibaha.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mwantumu Mahiza akiwa ndani ya Gari hilo huku akipatiwa maelezo yahusuyo gari hilo.

No comments:
Post a Comment