HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 16, 2012

MIUNDO MBINU DAR BADO KIZUNGU MKUTI.


 Sehemu  ndogo kati ya sehemu ndefu ya uchochoro mwembamba ambao hata gari haipiti kwnye kitongoji cha Keko Mwanga jijini Dar es Salaam, ambapo kwao gari wamekua wakizisikia mlio wake tu kwa mbaali.
Watoto wadogo kama huyu pichani wamekua wakipata shida ya kupanda na kushuka ili kufuata mahitaji mbalimbali, Suluhu ya adha hiyo ni kujengwa daraja litakalo unganisha Keko Mwanga na Keko DDC.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad