Mkurugenzi Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF), Anselim Peter akitoa pole kwa wagonjwa katika Taasisi ya Saratani Ocean Road jijini Dar es Salaam wakati wafanyakazi wa mfuko huo waliposhiriki futari na wagonjwa waliolazwa katika taasisi hiyo. Kushoto ni Meneja Masoko wa Mfuko huo, Aloyce Ntukamazina
Mkurugenzi Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF), Anselim Peter akiandaa futari kwa mmoja wa wagonjwa hao.
Meneja Masoko wa Mfuko huo, Aloyce Ntukamazina akimpa futari mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani Ocean Road.
Mkurugenzi Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF), Anselim Peter akimpatia ftari mmoja wa wagonjwa hao.
Mkurugenzi Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF), Anselim Peter akishirikiana na baadhi ya ndugu wa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani Ocean Road kugawa ftari.
Baadhi ya wagonjwa wakipata futari.
No comments:
Post a Comment