HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 31, 2012

Mdau Joachim Mushi wa TheHabari.Com ametemeta na Mkewe jijini dar

Mhariri Mkuu wa Thehabari.com, Joachim Mushi (kushoto) akigonganisha glasi na mkewe Hilder Mwaipopo juzi (Agost 25) kwenye mnuso wao baada ya kumeremeta katika Kanisa Katoliki Parokia ya Tabata karibuni
Hapa ilikuwa ni wakati wa Mr & Mrs Joachim Mushi kufungua muziki.
Bi. Hilder Mwaipopo (kulia) akijiandaa kumnywesha mvinyo mumewe Joachim Mushi kwenye mnuso wa kumeremeta kwa  jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad