HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 27, 2012

Mambo ya Kumeremeta hayo huko Ntwaraaaa

Hapa katika pikipiki ya mbele yupo Bi. Harusi,ya katikati yupo Bw. Harusi na ya mwisho yupo mpambe........ hapo mambo yashakamilika na ndio wanaondoka zao.hii nilikutana nayo maeneo ya Ndanda,Mkoani Mtwara hivi karibuni nilipozuru maeneo hayo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad