HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 12, 2012

MAHARAMIA WA KAZI ZA WASANII WAZIDI KUKAMATWA

 Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akionyesha CD na DVD feki zenye thamani ya sh.milioni 11 zilizokamatwa katika eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam leo, wakati wa operesheni ya kuwakata wezi wa kazi za wasanii inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi
 Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akionyesha CD na DVD feki zenye thamani ya sh.milioni 11 zilizokamatwa katika eneo la Mbagala.
 Msama akionyesha mashine zinazotumika katika kurudufu kazi za wasanii.Picha na Habari Mseto Blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad