HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 3, 2012

Magdalen ala nondo yake ya kuhitimu Kindagate

 
Agosti 2, 2012 ni siku ya kukumbukwa sana kwa Mtoto Magdalen Christopher baada ya kuhitimu masomo yake ya Elimu ya Chekechea katika shule ya Brookhouse International School iliyopo Morocco jijini Dar es Salaam na mwakani 2013 ataanza darasa la kwanza. Mahafali hayo yalifanyika leo.
Magdalen (kulia) akiwa na rafiki zake wakati wa mahafali yao.
Magdalen akipokea nondo yake ya Chekechea kutoka kwa mgeni rasmi.
Magdalen akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake Bwana na Bibi Christopher Makwaia (MK) na shangazi yake katikati baada ya kutunukiwa cheti chake.
 Magdalen akila pozi na wazazi wake
 Mhitimu Magdalen akipokea zawadi kutoka kwa shangazi yake
 Jamanieee!! Hii ndo ganda langu bana ...
 Magadalene akila pozi na wenzake wakati wakisubiri kukabiziwa maganda yao.
 Hawa waliwaimbia na kuchezagoma za asili 
 sasa tupo tayari kupokea vyeti.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad