Friday, August 10, 2012

Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi: washiriki wapewa tuzo

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe (wa pili kushoto) akipokea tuzo kutoka kwa mkufunzi wa FIFA kutoka Botswana,Sinca Kanyemvu wakati wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na uongozi wa TFF.Wengine kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TFF, Ossiah Angetile,Rais wa TFF, Leodgar Tenga na Mkufunzi wa FIFA, Barry Bukoro kutoka Namibia.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiwahutubia washiriki wa wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na uongozi wa TFF.Kozi hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Msimbazi Centre Jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 6-11, 2012. Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ndio mdhamini wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na vilabu vya Simba na Yanga.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akisalimiana na Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Saad Kawemba wakati wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na uongozi wa TFF. Kozi hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Msimbazi Centre Jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 6-11,2012.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akimkabidhi tuzo Beatrice Mgaya kutoka Tanga wakati wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na uongozi wa TFF. Kozi hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Msimbazi Centre Jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 6-11, 2012.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akimkabidhi cheti Rais wa TFF Leodgar Tenga wakati wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na uongozi wa TFF. Kozi hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Msimbazi Centre Jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 6-11, 2012.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe (mwenye shati jeupe) akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na uongozi wa TFF. Kozi hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Msimbazi Centre Jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 6-11, 2012. 

No comments:

Post a Comment