Monday, August 6, 2012

Kazi na Mapumziko...

 Dereva wa Lori akiwa ametandika mkeka wake pembeni ya gari yake na kuuchapa usingizi kisawasawa.
usingizi umenoga mpaka akaamua kupiga jeki kichwa.

No comments:

Post a Comment