Monday, August 6, 2012

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilipomnasa jamaa huyu....

 .....anaanza kunawa namna hii katika dimbwi la maji machafu yaliyotuama.
 anaendelea huku jamaa wa pembeni wakimshangaa,kwani maji yale yalikuwa si salama kwa matumizi ya binadamu.
 Mara na Miguu.....

No comments:

Post a Comment