HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 7, 2012

Jumuia ya Kiislamu DMV Wafutarisha Pamoja na kuwaombea Dua Jamaa wote waliotangulia mbele ya Haki!

Waumini wakiwa katika futari iliyoandaliwa na jumuia ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community, katika ukumbi wa Hillandale Local Park, New Hampshire Avenue, Silver Spring Maryland. Nchini Marekani.
Tanzanian Muslim Community Washington Metropolitan (TAMCO) jana Jumapili katika Mwenzi mtukufu wa Ramadhani wafutarisha pamoja na kuwaombea Dua Jamaa wote waliotangulia mbele ya haki.
Waumuni wakiwa kwenye kisoma pamoja na futari hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Hillandale Local Park New Hampshire Avenue, Silver Spring Maryland. Siku ya Jumapili  Aug 5, 2012
 Bwana Omar kutoka State ya Philadelphia alimazia kwa kuwakumbusha waumini wa jumaia, umuhimu wa Dini ya Kiislam katika Mwenzi huu Mtukufu wa Ramadhani.

Sikiliza kwa Makini (Audio) ya Kisomo pamoja na Mawaidha ya Bwana Omar kutoka  Philadelphia kwa Audio Bofya hapa Hapa 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad